Posts

Jamani hamjambo.Natumaini kuwa hujambo.Wapendwa tumeingiliwa duniani na ugonjwa wa corona,jambo pekee ambalo litatusaidia ni kuomba.hizi ni siku za mwisho wapendwa unabii wa maandiko matakatifu Biblia yanaonekana kwa wazi machoni petu.Bwana yesu alisema myaonapo haya changamkeni mkaviinue vichwa vyenu juu kwa kuwa muda simrefu mwana wa Adamu yuaja.ndugu yangu tambua kuwa hizi ni dalili za kurudi kwake yesu kristo mara ya pili,kuwachukua wateule wake.jiandae

Siku hizi ni nyakati za mwisho

Siku za mwisho ona magonjwa yanavyo ua watu leo Utalipa wanasema kwa saa ishirini na nne watu mia saba na themanini hufa kwa corona.ndugu niwakati wa mwisho.